jangwa la kutisha
<script async custom-element="amp-auto-ads" src="https://cdn.ampproject.org/v0/amp-auto-ads-0.1.js"> </script> USIKU WA KUTISHA KATIKA JANGWA LA MIZIMU NI usiku wa ajabu ................................ilikuwa ni asubuh na mapema siku ya ijumamosi ,john pamoja na marafiki zake wakiwa na hamu ya kwenda kutembea jangwan ,kwajili ya kujifunza pamoja na kufurah na wachumba zao........................basi safari ilianza mida ya saa 4 asubuh mpaka kufika mida ya saa8 wakawa wameanza kuingia eneo la jangwa la kitisha likini walipokuwa njiani mary alikuwa na hofu sana lkn john alimtoa wasiwasi na kumwambia asiogope ,...................bc wakaanza kuingi...