jangwa la kutisha
<script async custom-element="amp-auto-ads"
src="https://cdn.ampproject.org/v0/amp-auto-ads-0.1.js">
</script>
USIKU WA KUTISHA KATIKA JANGWA LA MIZIMU
- NI usiku wa ajabu ................................ilikuwa ni asubuh na mapema siku ya ijumamosi ,john pamoja na marafiki zake wakiwa na hamu ya kwenda kutembea jangwan ,kwajili ya kujifunza pamoja na kufurah na wachumba zao........................basi safari ilianza mida ya saa 4 asubuh mpaka kufika mida ya saa8 wakawa wameanza kuingia eneo la jangwa la kitisha likini walipokuwa njiani mary alikuwa na hofu sana lkn john alimtoa wasiwasi na kumwambia asiogope ,...................bc wakaanza kuingia eneo la jangwa la mizimu wakiwa na furaha ya kuona na kujifunza mambo mbalimbali gafla ukatokea upepo mkali wa ajaubu ukafanya james fafiki ake john ambae ndie alikuwa gereva akashindwa kuona mbele mpk akasimama kwa gafla ile taruki wakasika sauti ya ajubu pande zote za jangwa ....kila mt alichwanganyikiwa.......................................inaendelea
ii
JibuFuta