jangwa la kutisha

<script async custom-element="amp-auto-ads"
        src="https://cdn.ampproject.org/v0/amp-auto-ads-0.1.js">
</script>

 
                                                     
                       USIKU WA KUTISHA KATIKA JANGWA LA MIZIMU

  • NI usiku  wa ajabu ................................ilikuwa ni asubuh na mapema siku ya ijumamosi ,john pamoja na marafiki zake wakiwa na hamu ya kwenda kutembea jangwan ,kwajili ya kujifunza pamoja na kufurah na wachumba zao........................basi  safari ilianza mida ya saa 4 asubuh mpaka kufika mida ya saa8 wakawa wameanza kuingia eneo la jangwa la kitisha likini walipokuwa njiani mary alikuwa na hofu sana lkn john alimtoa wasiwasi na kumwambia asiogope ,...................bc  wakaanza kuingia eneo la jangwa la mizimu wakiwa na furaha ya kuona na kujifunza  mambo mbalimbali gafla ukatokea upepo mkali wa ajaubu ukafanya james fafiki ake john ambae ndie alikuwa gereva akashindwa kuona mbele  mpk  akasimama kwa gafla ile taruki wakasika sauti ya ajubu pande zote za jangwa ....kila mt alichwanganyikiwa.......................................inaendelea

Maoni

Chapisha Maoni